Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt Hussein Mwinyi, Kesho October 15,2021, atazindua kiwanda cha kuchakata Maziwa , Nyumba za Makazi ,Jengo la Mama na Mtoto katika kituo cha Afya cha Gereza Mtego wa Simba.Aidha atakagua Ujenzi wa Ngome ya Gereza Mkono wa Mara ,mkoani Morogoro.