Kamishna Jenerali,Meja Jenerali Suleiman Mzee akiwa katika picha ya pamoja na maafisa waliopandishwa vyeo.

Kaimu Kamishna wa Huduma za Urekebu (RS), Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza (SACP) Ramdhan Nyamka ,kwa niaba ya Kamishna Jenerali wa Magereza leo tarehe 4.10.2021 amewavisha vyeo  maafisa 17 wa ngazi mbalimbali katika ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Magereza eneo la  Msalato Jijini Dodoma .

Kaimu Kamishna wa Huduma za Urekebu (RS),Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza (SACP) Ramadhan Nyamka akimvisha cheo Mrakibu Mwandamizi wa Magereza (SSP) Lubilo Mathew  kuwa Kamishna Msaidizi wa Magereza (ACP).

Kaimu Kamishna wa Huduma za Urekebu (RS), Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza (SACP) Ramadhan  Nyamka akimvisha cheo Mrakibu wa Magereza (SP) Julius Sukambi kuwa Mrakibu Mwandamizi wa Magereza (SSP).

Kaimu Kamishna wa Huduma za Urekebu (RS), Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza (SACP) Ramadhan Nyamka akimvisha cheo Mrakibu Msaidizi wa Magereza (ASP) Yaredi Salvatory Makalla kuwa Mrakibu wa Magereza (SP)