Mkurugenzi Mkuu wa TBC Dr. Ayoub Ryoba akijadiliana jambo na Naibu Kamishna wa Magereza DCP Jeremiah Katungu (katikati) alipofanya ziara ya Kikazi Makao Makuu ya Magereza Msalato Jijini Dodoma, kulia  ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza SACP J.M Kaziulaya.