Makatibu muhtasi kutoka makao makuu ya jeshi la magereza wakiwa wakiwa katika picha ya pamoja na Muwezeshaji mkuu wa Semina ya makatibu muhtasi kutoka KIKOLO financial Solution LTD Dr. John Philemon pamoja na Maafisa waandamizi wa Jeshi la Magereza katika ukumbi wa Mount Kilimanjaro jengo la HAZINA (treasury square) DODOMA.
Makatibu muhtasi wa Jeshi la Magereza jana wamepatiwa semina elekezi ya siku mbili tarehe 4 - 5 julai katika ukumbi Treasury squire jijini Dodoma. Semina hiyo imeandaliwa na Jeshi la Magereza kwa kushirikiana na Kikolo financial solution LTD. Semina ya makatibu muhtasi imehudhuriw na makatibu muhtasi kutoka makao makuu ya Jeshi la Magereza na viongozi waandamizi wa vitengo mbali mbali wa Jeshi la Magareza. kwa habari picha bofya hapa