Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Suleiman Mzee akisalimiana na Mkuu wa Kiwanda cha Samani cha Gereza Kuu Ukonga, ACP. John Itambu mapema leo alipokagua zoezi la uwekaji miundombinu ya maji katika majengo ya makazi ya Maafisa na askari Magereza, Ukonga Dar es Salaam kabla ya kutembelea eneo la ujenzi wa Hospitali Kuu ya Jeshi hilo. Kwa habari picha Zaidi bofya hapa