Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike, akisalimiana na Msaidizi wa Mkuu wa Gereza Ruangwa, Mkaguzi wa Magereza, Alex Munga’nzo alipowasili  Oktoba 15, 2019 kwa ziara ya kikazi Gerezani hapo. kwa Habari picha Zaidi tembelea magereza blog.