Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike (kulia) akimvalisha cheo   Mrakibu Mwandamizi wa Magereza, Lipina Lyimo kuwa Kamishina Msaidizi  wa Magereza katika hafla fupi iliyofanyika kwenye viwanja wa Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji, Ukonga jijini Dar es salaam, jana Agosti 6, 2019. Kwa habari picha Zaidi tembelea magereza blog www.magereza.blogspot.com