Kamishna Jenerali wa Magereza( wa Kwanza kulia) akikagua shamba la Kimkakati la mahindi ambalo liko katika hatua za Mavuno la gereza Kitengule tarehe 11 Julai,2019. Kwa habari picha Zaidi bofya  www.magereza.blogspot.com