TANGAZO                                      

JESHI LA MAGEREZA KWA KUSHIRIKIANA NA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM – SHULE YA SHERIA (UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM – SCHOOL OF LAW) LINAENDESHA KOZI YA ASTASHAHADA YA SHERIA (CERTIFICATE IN LAW) KWA MWAKA WA MASOMO 2019/2020 KWA MPANGO WA MASOMO YA MUDA WA JIONI (EVENING SESSIONS) KUANZIA SAA 10:00 JIONI.

 

MUDA WA KOZI:

Mwaka Mmoja (1) kuanzia Mwezi Oktoba 2019.

 

MAHALI:

Chuo Cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania (Tanzania Correctional Training Academy - TCTA) (zamani kiliitwa Chuo Cha Maafisa Magereza Ukonga) kilichopo Ukonga Dar es salaam.

 

SIFA ZA MWOMBAJI:

Mwombaji awe na Sifa zifuatazo:-

  1. Elimu ya Kidato Cha Nne (Form Four) aliye na ufaulu wa kuanzia angalau     alama Nne (4) za ‘D’ na kuendelea, au.                             
  2. Elimu ya Kidato cha Sita (Form Six) aliye na ufaulu wa kuanzia ‘principal Pass’

                 Moja (1) na ‘Subsidiary’ Mbili (2) na Kuendelea.

  1. Awe Mtanzania.

 

            FOMU ZA MAOMBI:

            Fomu za Maombi zinapatikana Chuo Cha Taaluma Ya Urekebishaji Tanzania       

            (TCTA), Ukonga, Dar es salaam kwa malipo ya Shilingi elfu ishirini tu (20,000/=)

 

            Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 12/Julai / 2019.

 

            KWA MAELEZO ZAIDI:

            Piga  Simu namba:-

                        +255 715749159 au +255 758 880 730 au +255 622 334 868.

            Tangazo hili linapatikana pia katika tovuti ya Jeshi la Magereza Tanzania, ambayo ni:

            http:///www.magereza.go.tz