Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike akiagana na Mkaguzi wa Magereza Godfrey Mpagike(kulia) ambaye ni miongoni mwa maofisa na askari 20 wa Jeshi la Magereza ambao wanatarajia kuondoka Agosti 16, 2018 kuelekea nchini Shelisheli kutekeleza jukumu la Urekebishaji wa wahalifu  kwa mkataba wa miaka miwili.

(Picha na Jeshi la Magereza)

 

Kwa habari picha zaidi tembelea www.magereza.blogspot.com