Kamishna Jenerali wa Magereza Dkt. Juma Malewa (mwenye kofia) akiongoza watumishi  wa Makao Makuu ya  Jeshi la Magereza katika uzinduzi wa mazoezi ya viungo, uzinduzi huo ulifanyika katika ufukwe wa Bahari ya Hindi. Wa tatu kulia Naibu Kamishna wa Magereza (DCP) Edith Mallya

 

Kwa habari picha zaidi, tembelea www.magereza.blogspot.com