![]() |
HABARI MPYA | Habari zaidi |
-
LEO JUNI 16, 2022 NI SIKU YA MTOTO WA AFRIKA
16-06-2022
-
CGP MZEE AHIMIZA WANANCHI KUSHIRIKI ZOEZI LA SENSA IFIKAPO AGOSTI 23, 2022.
14-06-2022
-
MWANANCHI JIANDAE KUHESABIWA IFIKAPO AGOSTI 23, 2022, SENSA KWA MAENDELEO YA TAIFA
03-06-2022
-
TANGAZO LA AJIRA
31-05-2022
Taarifa kwa Umma kuhusu Nafasi za Ajira Jeshi la Magereza kwa Mwaka 2022, Bofya hapa kupata...
-
NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI MHE.DKT. MADUHU KAZI AFANYA ZIARA YA KUJITAMBULISHA MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA
25-05-2022
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Dkt. Maduhu Kazi, akisaini kitabu cha...
-
ZIARA YA MH.RAIS SAMIA SULUHU HASSAN MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA KWAAJILI YA UZINDUZI NA UWEKAJI WA MAWE YA MSINGI KATIKA MIRADI
25-03-2022
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Mhe....
HISTORIA YA JESHI LA MAGEREZA TANZANIA BARA |
1.0.Utangulizi Jeshi la Magereza lilianzishwa rasmi mwezi Agosti 25,1931 baada ya mgawanyo wa majeshi ya Polisi na Magereza kutokea. Licha ya kuwa na majukumu ya kulinda usalama na mali za wageni, kabla ya mwaka 1931 Jeshi la Polisi lilifanya pia kazi za Magereza kama zilivyokuwa kwa tafsiri na madhumuni ya wakoloni. Jeshi la Magereza wakati lilipoanzishwa liliitwa Idara ya Jela ambapo shughuli zake zilibaki kuwa zile za kikoloni za utesaji wa wafungwa pamoja na kazi ngumu bila kujali kama ni ya manufaa kwao au kwa Taifa. Dhima ya Jeshi la Magereza ni kutekeleza wajibu ipasavyo katika kuimarisha ulinzi wa jamii kupitia usimamizi wa kifungo na kuwasimamia wahalifu, huduma za mahabusu, programu na huduma zinashughulikia mahitaji ya urekebishaji wa wahalifu na ushauri wa Sera kuhusu uzuiaji wa uhalifu na ushughulikiaji wa wahalifu. Soma zaidi>> |