SAMANI ZA NDANI |
Samani za ndani zenye ubora wa juu zinazotengenezwa na Viwanda vidogovidogo katika miradi ya Uzalishaji ya Shirika la Magereza "Dressing Table" Meza ya chakula iliyotengenezwa kwa Ustadi mkubwa Kiti cha kunesa Maalum kwa Watu wenye umri mkubwa Sofa seti iliyotengezwa kwa Ustadi mkubwa Kabati la Vyombo Kitanda cha futi Sita kilichotengenezwa kwa kutumia mbao aina ya Mjakaranda |
. |