Kamishna Jenerali Suleima Mzee akiongea na wanafunzi wa Kozi ya Uongozi Ngazi ya Juu( hawapo pichani), mara baada ya kuwasili katika Chuo cha KPF Morogoro. Kwa habari picha zaidi Bofya hapa
KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA MAGEREZA NCHINI MEJ.JEN. SULEIMAN MZEE, TAR. 09 JULAI 2020, AMEFUNGUA MAFUNZO YA UONGOZI NGAZI YA JUU YA JESHI LA MAGEREZA,KOZI NA.01 KATIKA CHUO CHA KPF KILICHOPO KINGOLWIRA , MOROGORO.
- Details