Makatibu muhtasi kutoka makao makuu ya jeshi la magereza wakiwa wakiwa katika picha ya pamoja na  Muwezeshaji mkuu wa Semina ya  makatibu muhtasi kutoka KIKOLO financial Solution LTD Dr. John Philemon pamoja na Maafisa waandamizi wa Jeshi la Magereza katika ukumbi wa  Mount Kilimanjaro jengo la HAZINA (treasury square) DODOMA.

 

 Makatibu muhtasi wa Jeshi la Magereza jana wamepatiwa semina elekezi  ya siku mbili tarehe 4 - 5 julai  katika ukumbi Treasury squire jijini Dodoma. Semina hiyo imeandaliwa na Jeshi la Magereza kwa kushirikiana na Kikolo financial  solution LTD. Semina  ya makatibu muhtasi imehudhuriw na makatibu muhtasi kutoka makao makuu ya Jeshi la Magereza  na viongozi waandamizi wa vitengo mbali mbali wa Jeshi la Magareza. kwa habari picha bofya hapa