Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ndugu Christopher D. Kadio (wanne toka kushoto ) akimkaribisha Mkuu wa Msafara wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi naUsalama,ambaye ni  Mbunge wa Zanzibar Jimbo la Uzini ndugu Salum Rehani (wanne toka kulia) walipo wasili eneo la Mradi, Msalato. Watatu toka kushoto ni Kamishna Jenerali wa Magereza Suleiman Mzee. kwa habari picha zaidi Bofya hapa