Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee(kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania, ACP. Joel Matani kabla ya kikao kazi cha Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza kutoka katika vituo vilivyopo Kanda ya Dar es Salaam, leo Februari 10, 2020. Kwa habari picha zaidi zaidi bofya hapa