Kamishna Jenerali mpya wa Magereza, Suleiman Mzee akipokea salaam ya heshima toka  Gwaride Maalum lililoandaliwa na Maofisa na askari wa Jeshi la Magereza (hawapo pichani) kwa ajili yake kwa heshima katika Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya Magereza, Jijini Dar es Salaam.