Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike (aliyevaa miwani) akiangalia mtambo wa uzalishaji katika mradi wa uzalishaji kokoto wa Gereza Msalato, Dodoma leo alipofanya ziara ya kikazi. Shirika la Uzalishaji Mali la Magereza (SHIMA) limewekeza mradi huo wa kokoto katika eneo la Gereza Msalato, Mkoani Dodoma. Kwa habari picha Zaidi Bofya hapa