Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike (kulia) akimvalisha cheo Mrakibu Mwandamizi wa Magereza, Lipina Lyimo kuwa Kamishina Msaidizi wa Magereza katika hafla fupi iliyofanyika kwenye viwanja wa Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji, Ukonga jijini Dar es salaam, jana Agosti 6, 2019. Kwa habari picha Zaidi tembelea magereza blog www.magereza.blogspot.com
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, PHAUSTINE KASIKE AWAVISHA VYEO MAAFISA MAGEREZA WA MKOA WA DAR ES SALAAM NA PWANI WALIOPANDISHWA VYEO HIVI KARIBUNI
- Details