Kamishna Jenerali wa Magereza( wa Kwanza kulia) akikagua shamba la Kimkakati la mahindi ambalo liko katika hatua za Mavuno la gereza Kitengule tarehe 11 Julai,2019. Kwa habari picha Zaidi bofya www.magereza.blogspot.com
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, PHAUSTINE KASIKE AKAGUA SHAMBA LA KIMKAKATI LA MAHINDI KATIKA GEREZA LA KILIMO NA MIFUGO KITENGULE, MKOANI KAGERA.
- Details