SABASABA2019 - Jeshi la Magereza limeibuka Mshindi wa Kwanza wa jumla(Overal Winner) kwenye maonesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwl. Nyerere jijini Dar es Salaam. Pichani ni Maafisa Washiriki kutoka Jeshi la Magereza wakiwa na tuzo hizo (Picha na Jeshi la Magereza).