Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akitoa maelekezo kwa wajumbe wa Bodi mpya ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Magereza, kabla ya kuizindua Bodi hiyo, jijini Dodoma, leo. Wapili kushoto ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Phaustine Kasike. Kwa Habari picha Zaidi bofya www.magereza.blogspot.com