Kamishna Jenerali wa Magereza Phaustine Kasike akiwasili katika viwanja vya gereza Kuu Isanga Dodoma kwa ajili ya uzinduzi wa mradi wa ufyatuaji tofali za kuchoma kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za maafisa na askari kwa njia ya kujitolea. Uzinduzi huo umefanyika leo Desemba 17, 2018 ikiwa ni ishara ya uzinduzi programu ya ufyatuaji na uchomaji wa tofali kitaifa ili kukabiliana na changamnto ya makazi kwa watumishi wa Jeshi la Magereza kote nchini.

 

Picha na Jeshi la Magereza

Kwa habari picha zidi tembelea www.magereza.blogspot.com