Kamishna Jenerali wa Magereza Phaustine Kasike ambaye pia ni mlezi wa Magereza Saccos akisalimiana na Makamishna wa Magereza  mara alipowasili katika viwanja vya Chuo cha Mipango Dodoma kwa ajili ya mafunzo ya Ushirika yaliyoandaliwa na Chama cha Akiba na Mikopo cha Magereza (Magereza Saccos) kwa maafisa waandamizi  kutoka Makao Makuu ya Jeshi hilo pamoja na Wakuu wa Magereza wa mikoa yote ya kiutawala yaliyofanyika leo Desemba 16, 2018.

 

Picha na Jeshi la Magereza

Kwa habari picha zaidi tembelea www.magereza.blogspot.com