Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Christopher Ole Sendeka akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini (CGP) Phaustine Kasike  alipotembelea Ofisi za Mkuu wa Mkoa kabla ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi, leo Novemba 15, 2018.

( Picha na Jeshi la Magereza).

 

Kwa habari picha zaidi tembelea www.magereza.blogspot.com