Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike ambaye pia ni Mlezi wa Magereza SACCOS nchini akitoa hutuba ya ufungaji wa  Mkutano Mkuu wa sita wa Mwaka wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Watumishi wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara. Mkutano huo unaofanyika kwa siku mbili leo Oktoba 30, 2018 jijini Dodoma.

(Picha na  Jeshi la Magereza).

 

Kwa habari picha zaidi tembelea www.magereza.blogspot.com