Kamishna Jenerali wa Magereza (CGP) Phaustine Kasike, Makamishna  pamoja na maafisa waandamizi wa Jeshi la Magereza Makao Makuu wakisikiliza maelezo ya Bw. Dru Allen (mwenye shati la draft)  kutoka Taasisi ya Roul Wellenburg ya Chuo Kikuu cha Lund nchini Sweden baada ya kukamilisha  ziara ya siku tatu ya kutembelea baadhi ya magereza na Chuo Cha Taaluma ya Urekebishaji  ili kuona na kufanya tathmini ya mahitaji ya kimafunzo kwa maafisa na askari wa Jeshi la Magereza nchini.

Picha na Jeshi la Magereza.

Kwa habari picha zaidi tembelea www.magereza.blogspot.com