Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine KasikeĀ  akila kiapo cha uadilifu mbele ya Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Dkt. Eliezer Feleshi kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi kwa Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza, pamoja na Uhamiaji. Kiapo hicho kilifanyika katika Ofisi za Mahaka Kuu ya Tanzania, leo Septemba 4, 2018 jijini Dar es Salaam.

(Picha na Jeshi la Magereza).

Kwa habari picha zaidi tembelea www.magereza.blogspot.com