• Gharama ya fomu ya kujiunga ni Shs. 20,000/= (Shilingi Elfu Ishirini tu)
• Pesa hizi zilipwe kwenye benki ya NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC), Akaunti Namba - 040103001448 na
Jina la Akaunti ni UDSM – FACULTY OF LAW CERTIFICATE
• Mara baada ya kujaza fomu hii na kuambatanisha nakala ya vyeti vya taaluma, cheti cha kuzaliwa na hati halisi ya malipo ya benki kwa ajili ya fomu ya kujiunga na Chuo (Original bank pay in slip of application fee)

TUMA HARAKA KWA:
Office of the Commandant,
Tanzania Correctional Training Academy-Dar es Salaam,
P. O Box 4283,
Ukonga Centre, Dar es Salaam.

KWA MAELEZO ZAIDI YA UFAFANUZI:
Wasiliana na Mratibu wa kozi kwa Simu Na. 0713 880 729
E-mail address: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

 

PAKUA FOMU HAPA