Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike akiwasili katika Gereza la Kilimo Mang’ola, Wilayani Karatu leo Agosti 2, 2018 tayari kwa ziara yake ya kikazi yenye lengo la kukagua shughuli mbalimbali za uendeshaji wa Jeshi hilo.

(Picha na Kitengo cha Habari na Mawasiliano Makao Makuu ya  Jeshi la Magereza)

 

Kwa habari picha zaidi tembelea www.magereza.blogspot.com