Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Kangi Lugola(Mb) alipomtembelea Ofisini kwake leo Julai 17, 2018  jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujitambulisha rasmi tangu aapishwe kuwa Mkuu wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara, Julai 14, 2018. 

(Picha na Kitengo cha Habari na Mawasiliano Makao Makuu ya  Jeshi la Magereza).

Kwa habari picha zaidi tembelea www.magereza.blogspot.com