Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Phaustine KasikeĀ  akipokea saluti kutoka kwa Kamishna wa Utawala wa Magereza, Gaston Sanga mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ofisi ya Makao Makuu ya Jeshi la Magereza jijini, Dar es Salaam, leo Julai 16, 2018.

(Picha na Kitengo cha Habari na Mawasiliano Makao Makuu ya Jeshi la Magereza).

Kwa habari picha zaidi tembelea www.magereza.blogspot.com