Kamishna Msaidizi Mwandamizi Mstaafu wa Magereza, Joel Bukuku(kulia)  akiwa kwenye gari maalum pamoja na Kamishna Msaidizi Mwandamizi Mstaafu wa Magereza Deogratis Lwanga(kushoto) wakipita katikati ya Gwaride likiwa katika umbo la OMEGA ikiwa ni ishara ya kuwaaga rasmi baada ya kustaafu utumishi wao Jeshini. Hafla hiyo imefanyika katika Viwanja vya Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania, Ukonga jijini Dar es salaam Julai 13, 2018.

 

(PICHA na Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha Makao Makuu ya Magereza)

Kwa habari picha zaidi tembelea www.magereza.blogspot.com