Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mwigulu Nchemba (Mb) akiwasili leo Machi 17, 2017 katika Bwalo Kuu la Maafisa Magereza Ukonga jijini Dar es Salaam tayari kwa ufunguzi  wa Mkutano wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza(wa kwanza kushoto) ni Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa.

 

Kwa habari picha zaidi tembelea www.magereza.blogspot.com