BIDHAA ZA MIKONO |
Kamba na Vikapu vya aina mbalimbali Vikapu na "Table mates" zenye ubora wa hali ya juu Jiko la Mkaa(Plate mbili) linalotumika kuoka mikate, kuchoma nyama, mishikaki, Bidhaa za mikono za aina mbalimbali kama zinavyoonekana katika picha ambazo zimetengenezwa kwa kutumia miti aina ya mianzi inayopatikana kwa wingi Mkoani Iringa.
|
. |