HABARI MPYA | Habari zaidi |
-
TANGAZO LA AJIRA JESHI LA MAGEREZA TANZANIA BARA
09-01-2024
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara anatangaza nafasi za Ajira za kujiunga na...
-
CGP.NYAMKA AFUNGA KOZI NAMBA 12 YA ASKARI WA KIKOSI MAALUM.
02-11-2023
KAMISHNA Jenerali wa Jeshi la Magereza CGP. Mzee Ramadhani Nyamka Oktoba 27, 2023 amefunga Mafunzo...
-
TANGAZO LA KUITWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA AWALI YA JESHI LA MAGEREZA
04-08-2023
Kupata Orodha ya Majina hayo bonyeza...
-
KUITWA KWENYE USAILI JESHI LA MAGEREZA TANZANIA BARA
20-06-2023
Tangazo la kuitwa kwenye usaili Jeshi la Magereza Tanzania Bara bofya hapa kupata orodha ya majina...
-
FOMU YA KUJIUNGA NA CORRECTIONAL SCIENCE
17-05-2023
Chuo cha TCTA kinatangaza nafasi za kujiunga na chuo, kupata fomu bofya...
-
TANGAZO LA AJIRA JESHI LA MAGEREZA TANZANIA
09-05-2023
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara anatangaza nafasi za Ajira za kujiunga na...
HISTORIA YA JESHI LA MAGEREZA TANZANIA BARA |
1.0.Utangulizi Jeshi la Magereza lilianzishwa rasmi mwezi Agosti 25,1931 baada ya mgawanyo wa majeshi ya Polisi na Magereza kutokea. Licha ya kuwa na majukumu ya kulinda usalama na mali za wageni, kabla ya mwaka 1931 Jeshi la Polisi lilifanya pia kazi za Magereza kama zilivyokuwa kwa tafsiri na madhumuni ya wakoloni. Jeshi la Magereza wakati lilipoanzishwa liliitwa Idara ya Jela ambapo shughuli zake zilibaki kuwa zile za kikoloni za utesaji wa wafungwa pamoja na kazi ngumu bila kujali kama ni ya manufaa kwao au kwa Taifa. Dhima ya Jeshi la Magereza ni kutekeleza wajibu ipasavyo katika kuimarisha ulinzi wa jamii kupitia usimamizi wa kifungo na kuwasimamia wahalifu, huduma za mahabusu, programu na huduma zinashughulikia mahitaji ya urekebishaji wa wahalifu na ushauri wa Sera kuhusu uzuiaji wa uhalifu na ushughulikiaji wa wahalifu. Soma zaidi>> |